Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

Jinsi  mwanamke  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Go down

 Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon Empty Ushuhuda: aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Post by Admin Sun Apr 26, 2015 2:54 pm

Wakuu habari
Nimekua mfuatiliaji Wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima
Wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze Ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana

Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama Wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi katika moja yawilaya za nkoa Wa tabora yy alikua bosi huko kwa mda mrefu

Mwanae pia alimwingiza benki hiyo hiyo ila alipelekwa wilaya nyingine mikoa ya kaskazini

Huyu binti nilianza nae uhusiano tukiwa form six, tukaenda chuo kimoja na baada ya chuo tukapata kazi shirika moja ambayo tulitafutiwa na mama yake ila wilaya tofauti
Ahadi yetu ilikua ni kuoana
Time frame ni miaka mitatu ya kazi tuwe tumefunga ndoa

Nilipofika kwenye kituo changu cha kazi wilayani nikakutana na staff wenzangu vijana waliokua wakiishi kama miungu watu pale wilayani walichukua kila msichana wanaemtaka kwa mgongo Wa benki maana iliheshimika sana
Nami nikajiingiza kwenye life hilo

Katika harakati hizo nikapata binti chotara Wa kiarabu maana wilaya ile ina idadi kubwa sana ya waarabu kutokana na sababu za kihistoria

Akawa anahamisha nguo moja baada ya nyingine kuleta kwangu hadi akahamia kabisa
Tukawa tunapika na kupakua hadi akabeba mimba yangu

Wakati wote huo mchumba wangu Wa siku zote hakua anajua kama mm naishi na Mwarabu kwangu
Kila akitaka kunitembelea mm namuwahi nasafiri naenda mm

Mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, mwaka Wa tatu tangu nianze kazi na mtoto akiwa na miaka miwili kasoro
Mchumba wangu Wa Nmb akanibana tufunge ndoa nami nikawa sina ujanja nikakubali familia zetu zikaanza maandalizi dar es salaam ikiwa ni vikao na maandaliz mengine

Nilikua nawaza nitatumia mbinu gani kumuacha muarabu maana hata yeye alishanibana kuhusu kufunga ndoa ya kiislam na nilimuahidi nitabadili dini kutokana na kuchanganyikiwa na penzi lake
Maana alikua na vitu vizito mno kwa bed.
Na mapishi hadi sasa sijaona mwingine anaeyafikia

Wiki mbili kabla ya harusi yangu dar wambea kazini kwangu wakamwambia Mwarabu kuwa hivi karibuni mshkaji anafunga ndoa
Mwarabu akaniuliza kuhusu taarifa zile ikabidi nikubali kuwa ni kweli
Kesho yake mama yake akaniita akaniambia kama nitafunga ndoa na mwanamke mwingine basi yatakayonipata nisilaumu
Kwamba nimemtumia mtoto wao na kumzalisha kisha nimwache hawatakubali

Kutokana na tension ya sakata hilo na mawazo na ili kukwepa bibi harusi mtarajiwa hasiyafaham ya Mwarabu nikaamua Ku resign on 24 hrs notes
Nikajisemea moyoni liwalo na liwe kazi nitatafuta nyingine

Nikapaki nguo zangu tayari kwa safari kesho yake
Siku ya safari asubuhi nikapaki vitu kwenye Gari yangu ndogo nikamwambia Mwarabu mi naondoka alilia sana na kunia gukia miguuni nikamwambia nakuachia samani zote za ndani nikaondoka kurudi dar

Kiukweli pamoja na mazuri yote Ya Mwarabu na uzuri aliokua nao alikosa kigezo kimoja muhimu niliitaji kuoa mwanamke mfanya kazi, msomi mwenye future na sio mama Wa nyumbani mwenye kusubiri nimletee kila kitu

Mfano hadi hapo Mwarabu alikua ameshaniingiza gharama kubwa sana kutokana na matumizi makubwa aliyokua nayo na familia take
Ilifika pahala nakosa hata akiba kila pesa nikipata naleta nyumbani yalikua yamenifika shingoni kwa kweli

Siku ya harusi ndoa ikafungwa ikafuatiwa na sherehe kubwa
Usiku hotelini uume ukakataa kusimama mke wangu alinifanyia romance zote lakin wapi tukalala hivyo hivyo
Hali iliendelea hivyo kwa miezi mitatu
Nikamuona mtaalam mmoja Wa kienyeji akapiga ramli akaniambia kuna Mwarabu ulikua unaishi nae ndoa kafanya hivi
Akanipa dawa bado haikusaidia kitu
Nilifikisha waganga 12 bila mafanikio
Mke wangu akaniuliza hii yote maana yake nini ikabidi nimweleze ukweli wote Wa Mwarabu
Alilia sana akasema kumbe kipindi chote hiki sikua mwaminifu na nimezaa nje yeye basi ndoa imekwisha
Hakujali muda wote tuliokaa kwenye uhusiano akatengana nami
Wakati huo tayari alishahamishwa tunaishj dar akaamua kurudi kwao
Tulisuluhishwa bila mafanikio

Nikampigia Mwarabu akawa hapokei simu na akabadili line kabisa

Mwaka ukakatika hali ni ile ile
Mke wangu akanionea huruma akaja akaniambia ameelekezwa mtaalam mmoja Moro vijijini twende tumuone maana kujaribu sio vibaya

Tukasafiri hadi huko tukakuta ni MTU fukara na nyumba mbovu inayokaribia kuanguka hadi nikawa na hofu kama tutasaidiwa

Tukalala hapo asubuhi saa kumi alfajiri akanipeleka milimani tukiwa huko kwenye kichaka akawa anazungumza Maneno ya kiarabu akiwa na kitabu karibu masaa mawili
Tukarudi
Akanipa dawa za kunywa nikaharisha na kutapika irizi mbili nyeusi nikawa hoi sina nguvu kabisa wife aliogopa akamwambia jamaa waƱipeleke hospital nisije nikafa pale jamaa akakataa

Tukarudi bila mafanikio
Wife akaƱipeleka kanisa moja hivi kwa miezi mitatu bado haikusaidia

Tukaacha kwenda kokote Kule
Nikaendelea tu mambo mengine ya maisha

Hadi siku moja wife akaanza kunichezea mwili mzima maana hakukata tamaa alikua akinijaribisha kila Mara
Kitu kikainuka kwa hasira hakuamini akadandia haraka
Tulilia sana kama watoto
Tatizo likawa limeisha
Hata sasa sielewi kilichoniponya maana tulijaribu kila kitu

Sijawahi kumtafuta tena Mwarabu kwa hofu
Nilisamehe na mtoto maxima

Sasa Nina watoto wawili
Namheshim sana huyu mwanamke ameshinda mitihani yote.

Ni mkasa Wa kweli ulionipata mm mwenyewe nine share na nyinyi kama fundisho
Source:JF

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum