Habari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Search
 
 

Display results as :
 


Rechercher Advanced Search

Keywords

mwanamke  Jinsi  

Latest topics
» MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU 2015
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySun Oct 25, 2015 7:59 pm by Admin

» Upinzani Tanzania wazindua kampeni
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySat Aug 29, 2015 8:11 pm by Admin

» Joke Of the Day
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySun Jun 07, 2015 12:53 pm by Admin

» Tatizo sugu LA Ajira
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySat Jun 06, 2015 7:29 pm by Admin

» Joke Of the Day
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySat Jun 06, 2015 7:28 pm by Admin

» Joke Of the Day
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySat Jun 06, 2015 7:26 pm by Admin

» * MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MWANZA....
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptySat Jun 06, 2015 12:35 pm by Admin

» Lakini ungeweza Kama ungetaka
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptyWed Jun 03, 2015 1:03 pm by Admin

» Fun fact teehe
LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! EmptyWed Jun 03, 2015 8:21 am by Admin

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar


LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU!

Go down

LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU! Empty LOWASA APANGA KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KATIKA TUKIO LA KUTANGAZA NIA WIKI HII ILI AENDE IKULU!

Post by Admin Tue Jun 02, 2015 4:32 pm

1. Amepanga kusafirisha wanavyuo zaidi ya 100 kila Chuo kwa vyuo visivyopungua 60 nchini kwa gharama ya siku 3 ya sh 120,000 @ mmoja ambayo ni sawa na sh 720,000,000.
2. Bodaboda 100 kutoka kila mkoa nchini kwa gharama ya sh 120,000 @ mmoja kwa siku tatu ambayo ni sawa na sh300,000,000.
3. Bodaboda 500 kutoka Arusha kwa ajili ya kupamba msafara kwa gharama ya sh 50,000 ambayo ni sawa na sh 25,000,000.
4. Wamasai 1000 kutoka monduli kwa posho na gharama ya 50,000 @ mmoja ambayo ni sawa na sh 50,000,000.
5. TV channels 3 kwa gharama ya sh 280,000,000.
6. Radio channels 6 kwa gharama ya sh 70,000,000.
7. Uwanja wa tukio kwa makadirio ya sh 20,000,000.
HII INASHANGAZA KUONA MTU ANANUNUA IKULU KWA CASH JE HIZO FEDHA ZITARUDI KWA NJIA GANI? NI VYEMA SISI WANA CCM TUKAFANYA MAAMUZI YA UTASHI KAMA VILE ALIVYOTUAHIDI BABA WA TAIFA, LA SIVYO WATANZANIA WATAFANYA MAAMUZI YA BUSARA NA CCM TUTAPIGWA ASUBUHI SAA NNE.
Ikulu kuna biashara gani? Ikulu ni mzigo!
By: Hamis Kigwangala (Mb).

Admin
Admin

Posts : 54
Join date : 09/03/2015

https://habariforums.forumotion.com

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum